Karibuni!

Habari! Jina langu ni Mary Kasian Owino. Ahsante sana kwa kutembelea mtandao wa SABRAHM. Nakukaribisha katika ofisi yetu ya SABRAHM iliyopo Corridor Springs Hotel Arusha, karibu na Kibo Palace Hotel. Njoo ukutane na waalimu waliobobea kwenye kufundisha Masomo ya Kiingereza, Kifaransa, jinsi yakuandaa makongomano, na mengineyo mengi. Tunakukaribisha pia kwa ajili ya kukupatia ushauri katika nyanja mbalimbali za kimaisha.

Ahsante sana! Karibuni!!!